About Us

Karibu Muziki Wote

Muziki Wote (https://www.muzikiwote.co.tz) ni tovuti namba moja nchini Tanzania inayojishughulisha na kutoa habari za muziki, kuunganisha wasanii na mashabiki, pamoja na kutoa huduma za kupakua audio na video mpya za muziki wa Bongo Flava, Singeli, Gospel, Hip Hop, na Amapiano.

Dhamira Yetu (Our Mission)

Lengo letu kuu ni kuinua sekta ya muziki wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa kutoa jukwaa la haraka, salama, na lenye ubora wa juu kwa mashabiki kupata nyimbo zao pendwa bure na kwa urahisi.

Mawasiliano

Kama una ushauri, maoni, au unataka kupromote muziki wako kupitia tovuti yetu, usisite kuwasiliana nasi kupitia:

  • Email: kizomuziki@gmail.com
  • Website: https://www.muzikiwote.co.tz

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.